habari yako mkuu, mimi si fundi ila pia ni mtumiaji wa s2. labda niulize imekataa kuwala kabisaa au inawaka afu inajizima ndani ya sekunde kadhaa? pia ukiweka kwenye chaji wakati ipo off inakubali kuchaji ie kuonyesha betri ya kijani na zile golori likes kuwa kama inadownload?
nijibu hayo naweza kukusaidia hata bila ya kwenda kwa fundi.
Nisaidie kitu,nami galaxy s2 yangu inawaka na ku display "sumsung galaxy s2 " inaishia hapo haiendelei zaidi ya hapo
Asante sana Mkuu. Tatizo ni kuwa nilikuwa nachaji simu. Kuichukua ikawa imezimika na nikiwasha imekataa kabisa. nimefanya kila kitu mpaka kuminya buttons za volume+ +home+power vyote vimekataa. Nina batteries mbili zote nzima nimejaribisha zote bila mafanikio. nadhani ni matatizo ya hardware na ndio maana nikaulizia fundi. Hata hivyo nashukuru sana kwa mawazo yako Mkuu.habari yako mkuu, mimi si fundi ila pia ni mtumiaji wa s2. labda niulize imekataa kuwala kabisaa au inawaka afu inajizima ndani ya sekunde kadhaa? pia ukiweka kwenye chaji wakati ipo off inakubali kuchaji ie kuonyesha betri ya kijani na zile golori likes kuwa kama inadownload?
nijibu hayo naweza kukusaidia hata bila ya kwenda kwa fundi.
itakuwa tatizo ni betri ya simu yako imeisha nguvu yake, tafuta mtu ambaye ana s2 jaribu betri yake utaona inawaka vizuri tu. kama ikiwaka unaweza kuinunulia betri mpya na kuendelea kuifaidi simu yako.
note: nilikuwa na tatizo kama hilo na nilipojaribisha betri ya rafiki yangu ikakubali hivyo ni personal experience.
Asante Mkuu, nitatafuta fundi wa kunisaidia kui flush.
Ah notifeki usimwite mwenzako mwongo !jukwaa hili watu hawasemi uongo,hapa mpangomzima ni unajua au hujui ,hakuna mambo ya uongo au kweli hapa!ila ulichosema ni sahihi!Acha uwongo. odin haiwezi detect simu amabayo ipo offf...tatizo la hard ware fungua ndani uangakie motherboard kama kuna fault.huenda display ime dead.