Mbezi, Dar Es Salaam, Tanzania.
Habari ndugu, jamaa na marafiki...!!
Naitwa Enock, napatikana Mbezi Louis(Mbezi ya Kimara). Mimi ni fundi wa kutengeneza na kukarabati sofa za aina tofauti tofauti kwa bei nafuu kabisa. Napokea oda kwa mtu yeyote atakayehitaji huduma ya sofa.
Kwa sofa moja la watu wawili bei yake ni kuanzia 230,000/= na kuendelea kulingana na aina ya kitambaa na muundo pia.... na seti ni kuanzia 600,000/= na kuendelea.
Tunatengeneza pia vitanda vya sofa kwa;
5 kwa 6 = 450,000/= na
6 kwa 6 = 550,000/=.
Napatikana kwa;
Call/Text/WhatsApp 0652874876.
Instagram ; @iam_nock_
N Y O T E M N A K A R I B I S H W A S A N A
View attachment 1626498
View attachment 1626499
View attachment 1626500
View attachment 1626501
View attachment 1626502
View attachment 1626503
View attachment 1626504
View attachment 1626505