Dish kuanzia ft6 au ft8 Tsh120,000/= Tsh250,000/= respectively. Receiver kuanzia Tsh 40,000/= hadi 250,000/= kutegemea na aina na ubora wake. Kwa channel za bongo unatakiwa kuwa na Lnb C-band Tsh10,000/= Cable Tsh5,000/= Pin Tsh 600/=. Fundi maelewano