Hapo kuna vitu vitatu vinaweza kua problem, circuit board/printed circuit board inaweza kua tatizo or disk ya ndani, na kuna jicho hua linasoma hiyo disk ya ndani, but kama haiwashi taa yoyote na wala hausikii mngurumo kwa ndani tatizo litakua motherboard power problem na zote zinarekebishika. Ushauri.. Kama hiyo hdd ni ndogo i mean storage capacity ni ndogo na hauna data za msingi humo ndani nakushauri ununue hdd nyingine kwani kwa sasa bei yake ni ndogo