Fundi umeme

Fundi umeme naomba nikuulize
Je inafaa kupitisha Waya ring ya umeme wa tanesco na umeme wa jua yaani solar katika bomba moja? na je inafaa kutumia mfano switch ya njia Mbili njia moja ikatumika kwa umeme wa tanesco na njia ingine kwa solar?
 
Ok hapo kwenye switch inawezekana ila nomba moja kwa dc na ac haiwezekani. patatokea ukinzani tu mwisho utaaribu sola. Ac ni umeme wa tanesco. Dc ni umeme unaozalishwa na betri. Umeme wa ac unatabia ya kuambukiza waya usio na umeme wa ac.
 
Reactions: SIM
Ok hapo kwenye switch inawezekana ila nomba moja kwa dc na ac haiwezekani. patatokea ukinzani tu mwisho utaaribu sola. Ac ni umeme wa tanesco. Dc ni umeme unaozalishwa na betri. Umeme wa ac unatabia ya kuambukiza waya usio na umeme wa ac.
Asante mkuu kwa ushauri wako, hapa kwangu naona fundi kapitisha waya za ac na dc katika bomba moja
 
Italeta shida japo huwezi kujua wala kuona ila siku ukiona panel ya sola imekufa basi ujue tatizo ni hilo labda utumie kwa muda tofauti yaani ac ikiwepo hakikisha sola unazima kabisa.na ac tanesco wakikata ndo uwashe sola na na uwe na switch kuu kwa ajili ya kuwasha na kuzima sola na ac ili kuepuka muingiliano.maana usije umawa umewasha sola halafu tanesco wanarudisha umeme itasumbua.ukiwasha sola zima umeme ili ukirudi unazima sola.
 
Wadau Masada- natafuta kazi ya ufundi umeme. Kufanya wiring(wayaringi ya umeme) katika majumba. Pia hata kama kuna kampuni inahitaji fundi umeme basi naombeni msaada.
UZOEFU WANGU
1-wiring installation. Miaka 3
2-HT&LV contraction and maintenance 33&66kv. Miaka 2

ELIMU
form IV

TAALUMA
Ufundi umeme
Cheti-veta level two.
OTHER SKILLS
-computer skills
 
Umesajiliwa EWURA?
 
Hapana. Kuna kampuni niliyokuwa nafanya kazi ambayo imesajiliwa. Hivyo bado sijaanzisha kampuni yangu mwenyewe
 
Nitumie picha za taa za urembo za ukutani nje ya nyumba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…