Unasumbuliwa na simu yako:
IPHONE
SAMSUNG
TABLETE ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tunachonga ma battery ya addim (batr ambayo hayapo madukani) tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, haina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu
Kama simu yako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uzungushe simu yako kama unaendesha gari ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,
Ata ukiwa mkoani waweza ituma cm ako kwanjia ya bas ya Dar es salaam ntaipokea nakuirekibisha kisha nakutumia cm yako bada ya marekebisho
Maswali naushauri nibure .
Fundi Isaac Issa nawakaribisha wote
Piga simu au whatsapp mesej
+255744778873
+255675314966View attachment 1121360View attachment 1121361
natamani ningekuwa fundi nikujue[emoji849][emoji849][emoji849].Nina Ipad II imeacha kutoa sauti. Unaweza kuirekebisha? Na makadirio ya gharama za kuitengeneza kama jibu inawezekana.
Niaje mzee kwema za masikuHabari? Ndio inabidi niichek kwanza maana ipad sio rahs speaker kuaribika kwenda labda ni settings na kama kweli zimekufa habo tutarekebisha
Mkuu mrangi, huyo mwana unaweza kum-recommend kwa mtu bila ya hofu?! Moja ya hofu yangu kwa mafundi wa simu na laptop, ni kwamba, wengi wao ni wajuzi sana katika kufungua lakini linapokuja suala la kufunga, yaani mtu hata ukiwa umbali wa meta 1, unajua kabisa ile simu imeshapigwa screw na mabisibisi, na kinachofuata hapo ni ma-rubber band!Niaje mzee kwema za masiku
Mzee wa Tila lila hapa ile Samsung j2 uliyoirekebisha display na kutoa lock mpaka leo iko poa baba mkwe nliamua kumletea figisu sikumpaaa nlimwambiaaa simu haiwezi pona a kaingiaa kingi....[emoji23][emoji23][emoji23]
Ntakuibukia siku moja pande zako tupige toli
Ova
Chifu, ulipata suluhu ya hilo tatizo lako?! Natafuta fundi anayeeleweka manake dah, kuna fundi nilimpata hapa JF anajifanya fundi wa Laptop, yaani hata hamu nae sina!!!Tuelewane hapa hapa ndio nilete simu,nina note 8,kioo cha juu tu ndio kina kreki nataka kubadilisha,nipe gharama,pia nina sony xperia xa ultra, kioo kilikufa,cost zikoje kwa kioo original?
Huyu jamaa yuko poaMkuu mrangi, huyo mwana unaweza kum-recommend kwa mtu bila ya hofu?! Moja ya hofu yangu kwa mafundi wa simu na laptop, ni kwamba, wengi wao ni wajuzi sana katika kufungua lakini linapokuja suala la kufunga, yaani mtu hata ukiwa umbali wa meta 1, unajua kabisa ile simu imeshapigwa screw na mabisibisi, na kinachofuata hapo ni ma-rubber band!
Shukrani KiongoziHuyu jamaa yuko poa
Alafu Hna longolongo
Ksema ukweli
Ova
Fundi Nina simu yangu iPhone x inaganda ila mda mwingine inafanya kazi, ntakupataje
Sorry kwa kutokujibu mapema! Ebu nipigie kwenye namba nilizoweka hapo chini ya tangazo unieleze vizuri shida ya simu yako! Maana kuganda kwa simu kuna sababu nyingi! Kwenda labda inaganda upande wa Screen touch, au software ya inadai kuflash NK...