Fundi simu anapatikana hapa

Fundi simu anapatikana hapa

IKB

Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
75
Reaction score
29
Unasumbuliwa na simu yako tablete ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, aina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu ako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uweke simu ako upande ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,

Maswali naushauri nibure
Piga simu tuma SMS WhatsApp kupitia namba
+255763403330
+255675314966
Fundi Isaac Issa.

Epuka matapeli wamjini
You are welcome by IKB's FUNDI
3v89g9q3vm5wcrd.jpg
ebay.jpg
bateria-galaxy-s7_m.jpg
20180516_135318.jpg
 
nina iphone 6. ilizimika tu yenyewe, nilpeleka kwa fundi akabadilisha betri haikuwaka, akabadilisha kioo napo pia haikuwaka.

now nafikiria kubadilisha circuit , how much ita gharimu.?
 
Unasumbuliwa na simu yako tablete ...
Fundi niko kariakoo mtaa walindi na Msimbazi gerezani,
Tuna flash na kutoa lock...
Tuna badilisha vioo yani display pamoja na tach, yani screen touch...
Tuna badilisha battery yandani kwandani
Na pia tuna badilisha glass protector kwaajili ya kukinga simu yako isivunjike kioo ikindondoka kwabahati mbaya. Unakuta Glass pekee ndo inavunjika.
Nakama una simu Samsung ambayo kioo chake nicomplet alafu imepasuka kioo chajuu lakin inafanyakaz vizuri, aina aja yakununua kio chalaki naa ! Naweza kubadilisha kioo chajuu kwabei nafuu

Kama simu ako inajitach yenyewe... Kwenye mesej unashindwa kuandika muda mwingine unakuta mpaka uweke simu ako upande ili uandike vizuri, shida nitach ibadilishe,

Maswali naushauri nibure
Piga simu tuma SMS WhatsApp kupitia namba
+255763403330
+255675314966
Fundi Isaac Issa.

Epuka matapeli wamjini
You are welcome by IKB's FUNDIView attachment 779053View attachment 779054View attachment 779056View attachment 779062
kioo fully sony z bei gan
 
Bwana mdogo mambo vipi.

Nina simu yangu Galaxy Note 5. Back cover lake la glass limevunjika. Na camera lens pia imevunjika. Nataka replace.

Nimeletewa kutoka nje back cover na iyo lens.

Utaniadirishia kwa bei gani? Sana sana kwenye hiyo lens.

Lens imekuja na cover yake so kubadirisha inatakiwa itolewe sio tu kioo, na frame yake ndio uweke hii.
 
Mie tablet yangu ya Samsung ilizimika yenyewe baada ya kutumia incompatible charger...haijawahi kuwaka pamoja na kuipeleka kwa mafundi wengi....unashauri nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom