P papa yna Member Joined Jun 21, 2014 Posts 55 Reaction score 16 Jul 11, 2014 #1 Natafuta fundi pande za Moro wa kupaua nyumba yangu iliyoko kihonda Morogoro kwa bati za kawaid chapa kiboko. Ukubwa nyumba vyumba vitano na sebule.
Natafuta fundi pande za Moro wa kupaua nyumba yangu iliyoko kihonda Morogoro kwa bati za kawaid chapa kiboko. Ukubwa nyumba vyumba vitano na sebule.
Ibrah JF-Expert Member Joined Mar 22, 2007 Posts 2,730 Reaction score 537 Jul 11, 2014 #2 papa yna said: natafuta fundi pande za moro wa kupaua nyumba yangu iliyoko kihonda morogoro kwa bati za kawaid chapa kiboko. Ukubwa nyumba vyumba 5 na sebule. Click to expand... Kunavija watatu wachukua ktoka Ifakara nikawapeleka Dar kunipaulia nyumba yangu, huwezi kuamini kama wanatoka kijijni, kazi wanaijua na bei yao ilikuwa very reasonable Ukiwahitaji ni pm
papa yna said: natafuta fundi pande za moro wa kupaua nyumba yangu iliyoko kihonda morogoro kwa bati za kawaid chapa kiboko. Ukubwa nyumba vyumba 5 na sebule. Click to expand... Kunavija watatu wachukua ktoka Ifakara nikawapeleka Dar kunipaulia nyumba yangu, huwezi kuamini kama wanatoka kijijni, kazi wanaijua na bei yao ilikuwa very reasonable Ukiwahitaji ni pm
P papa yna Member Joined Jun 21, 2014 Posts 55 Reaction score 16 Jul 11, 2014 Thread starter #3 Nipe namba ya cm ya hao vijana wa ifakara
georgeallen JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 4,120 Reaction score 1,889 Jul 11, 2014 #4 usihangaike mimi nipo Morogoro na napaua kwa kutumia computer. ni-pm
M mhangalma Member Joined Jun 19, 2014 Posts 10 Reaction score 2 Jul 11, 2014 #5 georgeallen said: usihangaike mimi nipo Morogoro na napaua kwa kutumia computer. ni-pm Click to expand... mkuu we ni hatari asee kwa kompyuter tena!!!!!!!
georgeallen said: usihangaike mimi nipo Morogoro na napaua kwa kutumia computer. ni-pm Click to expand... mkuu we ni hatari asee kwa kompyuter tena!!!!!!!