Fundi mzuri wa engine ya D-4 Arusha

Scofied

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2012
Posts
2,456
Reaction score
1,694
Heshima yenu wakuu...natafuta fundi wa gari aina toyota yenye engine tajwa hapo juu...gari inakuwa kama ina miss miss,ina kosa nguvu na inajizima mara kwa mara..so kwa mtu yeyote anayefahamu fundi mtaalamu wa hizi ingine aliyepo Arusha tafadhari Anijuze hapa..natanguliza shukran zangu..
 
aisee pole sana. tatizo kama hilo lilinipata na gari ya mark 2 grande D-4 VVTi. nilihangaika sana hapo arusha na nikaipeleka toyota nao pia wakachemsha. ilibidi niiuze kwa bei ya nkutupa. nakushauri kama utabahatika kuiponya au kuiuza usijaribu tena kununua gari za D4
 

dah! nikipata fundi likipona ntaiuza mkuu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…