Fundi marembo 0659353388

Karibun waungwana....kwa durisha hizo..kuna namna mbili..kwanza uliweka grill (maana kuna nafas ya aluminum)pili uliweka frem za mbao (maana hakuna nafas ha aluminum....nawaomba mnifate Whatsup...inakua rahs zaidi wakubwa...kwa kupata sample zitakazo wahusu.....0659353388
 

Ningependa tuwasiliane kwa watsapp namba hii plz 0767077952
 
Dirisha 7x5 limewekwa grill tayari na matarajio ni keweka alluminiums, je kuweka urembo gharama zake zipo vipi?
 
Dirisha 7x5 limewekwa grill tayari na matarajio ni keweka alluminiums, je kuweka urembo gharama zake zipo vipi?
Ndg marembo inaanzia dirsha alfu 30..kutegemea samlpe uzur zaid ni kifika site na kuangalia KAZ kwa sample itakayopendeza mkuu
 

Attachments

  • 1475993605069.jpg
    102.5 KB · Views: 543
Malembo kama hayo unafanya bei gani. Dirisha ni ya 5'*6' na nguzo nazo ni za round. Weka bayana tufanye kazi site Kigamboni.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…