Fundi majeneza alipata oda ya
Jeneza akawa anapeleka kwa gari
yake.Njiani gari
ikaharibika,akaamua kubeba
kichwani kumpelekea mteja wake
akakutana na askari wa4 wakiwa
doria,akajua lazima watataka
rushwa.
Askari;- Unakwenda wapi na hilo
jeneza usiku huu?
Jamaa:- Nilikuwa nimezikwa
makaburi ya Mwananyamala sasa
sijapapenda ndo naelekea
Kinondon aliko Kanumba nikajizike
au mnanishaurije ndugu zangu?
Acha askari watimue mbio! Chezea
kufa wewe!!!