Fundi kisima

Fundi kisima

Jahlex

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
512
Reaction score
604
Tunachimba visima aina zote na kufanya matengenezo mengine kwa bei nafuu kabisa eneo zima la pwani ya bahari ya Hindi na maeneo jirani.
Bei zetu ni nafuu zaidi ukilinganisha na ubora wa huduma zetu,tunafanya kazi kwa uhakika na uaminifu mkubwa bila usumbufu nació kwa muda mfupi
~Handdug wells(visima vya mkono ni 45,000/= per metre.
~Machine drilling wells(vya kudrill na mashine ni 65,000/= per metre.
NB:3/4 ya malipo hufanyika baada ya vifaa kufika site na kiasi kinachobaki(1/4) kitalipwa baada ya kumaliza kazi ya msingi.
Wasiliana nasi kwa:0655185973
Karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom