Bei ni makubaliano baina ya mimi na wewe boss hvyo nafikiri isingependeza kuwa wazi kabisa maana hakuna bei elekezi kwenye kazi zetu hizi boss wangu....
bei inalingana na eneo la kaz na changamoto zake za hapa na pale...
kwamaana hiyo ingekuwa vizuri kama Ungenitafuta kwa mawasiliano yangu hayo mkuu...
Tafadhari sana
Lakini nikutoe hofu na shaka tuu boss...
Bei zetu ni nafuu mnooo ukilinganisha na Ushauri utakaopata ili nyumba yako iwe tofaut kidogo...
Ukilinganisha na uaminifu wetu...
Ukilinganisha na usafi narudia tena usafi kaz nyingi zinaonekana sio nzuri kwasababu ya uchafu kunauchafu ni ngumu sana kutoka baada ya muda huvyo ni vyema fundi akawa makini katika ujenzi wake na usafishaji wake mapema....
uchafu kidogo unaweza ukakufanya uchukie nyumba yako yote....