GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,768 Apr 8, 2017 #1 Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu
Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu
Satuuuu JF-Expert Member Joined Dec 3, 2015 Posts 1,849 Reaction score 1,994 Apr 8, 2017 #2 Safi sana ila kikubwa wakaze zaidi watakapo enda kwao
M Mbojo JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 1,612 Reaction score 1,329 Apr 8, 2017 #4 Hongereni Yanga! Ila kwa fitna za waarabu matokeo B yanaweza kumaliza furaha yote ya leo.
M Mario Gomez JF-Expert Member Joined Nov 1, 2011 Posts 821 Reaction score 588 Apr 8, 2017 #5 Nani mfungaji wa hilo bao?
Frank Wanjiru JF-Expert Member Joined Apr 12, 2012 Posts 24,697 Reaction score 44,051 Apr 8, 2017 #6 Kamusokoooo
Website Member Joined Apr 3, 2017 Posts 62 Reaction score 93 Apr 8, 2017 #7 Nadhani mwaka ambao Yanga itaweza kuwatoa waarabu,itabidi ifanyike sherehe ya nguvu,ngoja tuone marudiano.
Nadhani mwaka ambao Yanga itaweza kuwatoa waarabu,itabidi ifanyike sherehe ya nguvu,ngoja tuone marudiano.
S samakinchanga JF-Expert Member Joined Aug 24, 2014 Posts 2,024 Reaction score 1,237 Apr 8, 2017 #8 Simba veeepe
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,768 Apr 8, 2017 Thread starter #9 Mario Gomez said: Nani mfungaji wa hilo bao? Click to expand... Thaban Kamusoko dk 61
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,701 Reaction score 13,671 Apr 8, 2017 #10 Yangaaa....
Nkungulume JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,987 Reaction score 1,210 Apr 8, 2017 #11 GAZETI said: Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu Click to expand... Umekuwa mzalendo wa kweli
GAZETI said: Mimi ni mshabiki wa Simba lakini niseme ukweli kuwa Leo Raaaaaha sana, tumewakalisha waarabu. Mara oh waarabu Click to expand... Umekuwa mzalendo wa kweli
Lucky One JF-Expert Member Joined Nov 27, 2013 Posts 663 Reaction score 431 Apr 8, 2017 #12 Nkungulume said: Umekuwa mzalendo wa kweli Click to expand... Saa zngne uzalendo muhimu Big up wanajangwani
Nkungulume said: Umekuwa mzalendo wa kweli Click to expand... Saa zngne uzalendo muhimu Big up wanajangwani
Nkungulume JF-Expert Member Joined Nov 25, 2015 Posts 2,987 Reaction score 1,210 Apr 8, 2017 #13 Lucky One said: Saa zngne uzalendo muhimu Big up wanajangwani Click to expand... Asante sana
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Apr 8, 2017 #14 ila ushindi huu hautoshi kabsa kwa kweli
namanyele JF-Expert Member Joined Oct 19, 2012 Posts 1,852 Reaction score 611 Apr 8, 2017 #15 Iceman 3D said: ila ushindi huu hautoshi kabsa kwa kweli Click to expand... Lakini wale jamaa weupe tu
Iceman 3D said: ila ushindi huu hautoshi kabsa kwa kweli Click to expand... Lakini wale jamaa weupe tu
Iceman 3D JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 20,611 Reaction score 67,105 Apr 8, 2017 #16 namanyele said: Lakini wale jamaa weupe tu Click to expand... hahaha waarabu si watu wazuri uta onaona kinacho tokea next
namanyele said: Lakini wale jamaa weupe tu Click to expand... hahaha waarabu si watu wazuri uta onaona kinacho tokea next
jogi JF-Expert Member Joined Sep 25, 2010 Posts 25,556 Reaction score 25,362 Apr 8, 2017 #17 Wakiitoa hii timu ya waarabu wanakutana na LIBOLO ya msumbiji. Najua mnajua nini kinafuata. Kuliko kupigwa libolo si bora tutolewe na warabu??! Khakha mambo yameisha πππ
Wakiitoa hii timu ya waarabu wanakutana na LIBOLO ya msumbiji. Najua mnajua nini kinafuata. Kuliko kupigwa libolo si bora tutolewe na warabu??! Khakha mambo yameisha πππ
M makonge d New Member Joined Mar 1, 2017 Posts 2 Reaction score 0 Apr 9, 2017 #18 ugenini tutatok kwel:
muhomakilo jr JF-Expert Member Joined Jul 28, 2013 Posts 15,835 Reaction score 14,727 Apr 9, 2017 #19 Bao moja?,yaleyale ya ZANACO yanajirudia..
GAZETI JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 5,292 Reaction score 6,768 Apr 9, 2017 Thread starter #20 jogi said: Wakiitoa hii timu ya waarabu wanakutana na LIBOLO ya msumbiji. Najua mnajua nini kinafuata. Kuliko kupigwa libolo si bora tutolewe na warabu??! Khakha mambo yameisha πππ Click to expand... Ni ya Angola mkuu
jogi said: Wakiitoa hii timu ya waarabu wanakutana na LIBOLO ya msumbiji. Najua mnajua nini kinafuata. Kuliko kupigwa libolo si bora tutolewe na warabu??! Khakha mambo yameisha πππ Click to expand... Ni ya Angola mkuu