Jamii Opportunities
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 5,157
- 1,688
Halafu chote hicho kwa ajili ya kuwa pump attendant tu wa kujaza magari mafuta.Kingereza kingi jameni.
πππππ
Sasa hapo naona anahitajika mtu wa sheli ya mafuta huko migodini au
Kingereza kingi jameni.
πππππ
Sasa hapo naona anahitajika mtu wa sheli ya mafuta huko migodini au
Kwa haraka haraka anahitajika mkaka/mdada wa sheli..Halafu chote hicho kwa ajili ya kuwa pump attendant tu wa kujaza magari mafuta.
Huyu wakuitwa Denzel WashingtonHuyo jamaa katika Avatar yako ni role model wangu katika upande wa mentorship
Yani akili ya haraka mwenye qualifications zote walizoandika na uelewa wa walichoandika hawezi kuwa tayari kuwa muhudumu wa 'sheli'.Kwa haraka haraka anahitajika mkaka/mdada wa sheli..
Huyu Jamii Opportunities anaweza kutuma kazi ya mama ntulie hapa ila atakavo ipamba unaweza ogopa....
ππππππππππ
Aaaaagh kuchoshana tuu.....Yani akili ya haraka mwenye qualifications zote walizoandika na uelewa wa walichoandika hawezi kuwa tayari kuwa muhudumu wa 'sheli'.
Hiyo nayo ni "intavyuu"! Ukiweza kuelewa tu,umepata kazi.Kingereza kingi jameni.
πππππ
Sasa hapo naona anahitajika mtu wa sheli ya mafuta huko migodini au
Yeye ka copy na paste ndivyo zinazosomekanhata kwenye hardcopyKwa haraka haraka anahitajika mkaka/mdada wa sheli..
Huyu Jamii Opportunities anaweza kutuma kazi ya mama ntulie hapa ila atakavo ipamba unaweza ogopa....
ππππππππππ
Kutuchosha tuYeye ka copy na paste ndivyo zinazosomekanhata kwenye hardcopy
Asante ila naona watu Wa veta ndio wanahitajika hapaNgulutu pita hapa kwanza