FTS 18

Hckcode8

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2016
Posts
370
Reaction score
245
Wakuu naomb aliewah kuchez Hil gemu anielkez jins y kufany installation maan obb file nnzo danload zinazingua

Natanguliza shuklan
 
fts lipo la 2015 tu hayo mengine wanabadili tu majina.

na hilo game lina data na obb pamoja, obb tupu halitafanya kazi (sababu ni 2018)
 
2015 nnalo mkuu ila kuhusu data + obb na vyote nlishusha from site flan Google
 
Okay mwaga Mchele mr

mkuu google hii neno.

First touch soccer 2018.
kisha chagua iliyoyakwanza Kwenye result. then ingia udownload kila kitu.
eg.
obb
data.
apk.

ukishamaliza kudownload fungua Es file explore
kama unayo ili uziextract obb na data kwanza.
ukimaliza kuextract.
fungua obb file utapata faili linaloanza na com. hilo licut ukalipaste Kwenye file la android upande wa obb.
ukishamaliza rudi ulicut file la data ulipasite Kwenye file la android upande wa data( hakikisha linaanza na com.).

ukimaliza install apk file. kazi kwisha lugha utajua jinsi ya kubadili.

hilo gemu gumu asee.
 
T
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…