Muispaniolla anajitahid sana kurotate kikosi, na huu ndyo uungwana!Mnyama mkali Simba kuvaana na jkt Tanzania kwenye kombe la shirikisho la Azam ASFC, Leo saa 1 kamili usiku.
Kikosi tayari kimewasili uwanjani tayari kutafuta ushindi dhidi ya jkt Tanzania, hope itakua mechi nzuri na ya kuvutia, na yenye kila aina ya ufundi.
Kikosi ni kama kinavyoonekana hapa chini, hivyo for more updates ambatana nami hapa kwa dk zote 90.
View attachment 2044026
Hhahah!Yeah yupo vizuri, naona gadiel kala usinga kabisa, hataki masihara.
tusubiri maana ukiangalia Simba mpaka Sasa kikosi cha kwanza hakijaonekana hasa pale forward na kati ila mabeki washaonekanaNi either kocha ana waamini wachezaji wake au ame wa-underrate jkt
kweli huyo Jimmyson ni nani au Error kwenye kuandikaKwenye benchi kuna mchezaji anaitwa Jimmyson. ndio nani