one by one
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 5,835
- 9,330
Asia still wanacheza final 2 sababu wanashida tofauti na sisi sio kiuchumi ila mashabiki team hazina mashibiki wa kusafiri kwa wingi kuangalia team zao tofauti na ulaya fan base ni kubwa na watu kila mechi wanajaza uwanja hata wacheze na team ya daraja la 3 full capacity, sisi huku tunachagua mechi na hata mechi ya Simba na Yanga tu mpaka promotion. kweli mechi ya Barca na Real inahitaji promo? yenyewe promo au City na Liverpool promo ya nini. Hiyo Final tu ya Real na Liver tarehe 28 watu wanatafuta ticket kama mwezi wa Ramadhan na hawapati ticket zimefika dola 2500$ na ticket hakuna. Ndio maana sisi badi turudi kwenye final 2 sababu zetu ni nyingi kiuchumi na safari ngumu ndani ya Africa too expensive.Nikweli ila ilikuwa uboya kucheza fainali mbili........sema hakuna blanding nzuri ya hayo mashindano,na promotion ni veri pua
Ok sikujuwa kwa kweli labda ufuatiliaji mdogo maana kila mpenzi wa soka duniani anajuwa tarehe 28 tu final ya Champions league.Ulichokisema ndio uhalisia mkuu.
Ingawa huu ni msimu wa 3 kuchezwa Fainali moja pekee na sio msimu wa kwanza.
Sasa waarabu waitwe vipi?
Safi sana, Acha wana Africa Kaskazini waendelee kurusha makwaju.
Kolo unajisikiaje kumuona kisinda akinyanyua kwapa huku Chama akinywa mo energy hapo msimbazi . 😂😂😂Endelea kukaa nyuma yao
Umeanza..Ni sawa na kusema waafrika badala ya Orlando, Mzungu ama mwarabu akitamka "Berkane niko nyuma yenu pigeni hao waafrika/wahindi. Huoni kama sio sahihi mzee, huu ni ubaguzi
Wapo river😁😁😁Baada ya kuwafunga nyie mpo wapi?boya
Kolo unajisikiaje kumuona kisinda akinyanyua kwapa huku Chama akinywa mo energy hapo msimbazi . 😂😂😂
#uchawisiodili#Kupanga ni kuchagua
Umeanza..
Yaani kichwa chako kinawaza ubaguzi tu dah
Yanga mnaenda lini kwenye sherehe ya ubingwa wenu huko morocco?Simba guvu moya!!!!!
Sasa unataka wajifunze nini kuhusu berkane?Wanao watajifunza nini kutoka kwako
Quarter final mara mbili CL na moja CC wewe ulikuwa wapi?Una maanisha kufika level zA fainali au? [emoji23][emoji23]
Kolo witches..
Utopolo akili zenu zipo matakoni mwaka jana mlikuwa Kaizer chiefs mwaka huu mpo Orlando Pirates
Fuatilia vizuri mashindano ya Africa...Hata timu zikichezea nyumbani mashabiki hawaendi.....Asia still wanacheza final 2 sababu wanashida tofauti na sisi sio kiuchumi ila mashabiki team hazina mashibiki wa kusafiri kwa wingi kuangalia team zao tofauti na ulaya fan base ni kubwa na watu kila mechi wanajaza uwanja hata wacheze na team ya daraja la 3 full capacity, sisi huku tunachagua mechi na hata mechi ya Simba na Yanga tu mpaka promotion. kweli mechi ya Barca na Real inahitaji promo? yenyewe promo au City na Liverpool promo ya nini. Hiyo Final tu ya Real na Liver tarehe 28 watu wanatafuta ticket kama mwezi wa Ramadhan na hawapati ticket zimefika dola 2500$ na ticket hakuna. Ndio maana sisi badi turudi kwenye final 2 sababu zetu ni nyingi kiuchumi na safari ngumu ndani ya Africa too expensive.
We jamaa hufuatilii mpira..Sio mara ya kwanza kwa fainali kuwa moja Afrika..ilianza miaka michache nyuma.... kuna timu ilishawahi kkugoma kuendelea na mechi kwenye fainali, baada ya upendeleo kuzidi... CAF wakaamua kufanya fainali moja kwenye neutral ground...... Fuatilia hata mechi za nyumbani na ugenini kwa timu nyingi mashabiki hawaendi..Sio hiyo ya faiinaali tu....Nadhani hii ni mara ya kwanza final kufanyika game moja tu neutral ground sasa hili ni shida sio utamaduni wetu sababu ziko nyingi. Mpira wa Africa unategemea na viwanja vya nyumbani washabiki kutengeneza shamrashamra na figisu nyingi ndio zinafanya final kunoga ukipeleka neutral ground washabiki wa team hizi kusafiri kwa hali zetu Africa umaskini gharama kubwa na visa sio rafiki sasa wenzetu ulaya kwanza visa free halafu kiuchumi wako vizuri na usafiri ni rahisi ndio maana final zao hazijalishi zinachezwa wapi zinakuwa full na hamasa. Nadhani turudi katika mfumo wetu wa home and away, na viwanja Africa sio vizuri haya tuje kufanya siku Africa nzima visa ziwe free na usafiri uwe wa uhakika. Ni sawa Simba na Yanga waingie final halafu uwapangia final Libya unategemea nini?
Ndio maana nimeandika huku tunachagua mechi na mechiFuatilia vizuri mashindano ya Africa...Hata timu zikichezea nyumbani mashabiki hawaendi.....
Mimi ni mshabiki mkubwa wa mpira ila sipendi mashindano ya Africa huwa nasinzia kwenye TV natizama mechi tu kama team za nyumbani zinacheza na sitizami kwa sababu ni bora ni ile hali nataka kuona zinafanya vipi basi ila kama niko neutral sipotezi muda viwango hakuna.We jamaa hufuatilii mpira..Sio mara ya kwanza kwa fainali kuwa moja Afrika..ilianza miaka michache nyuma.... kuna timu ilishawahi kkugoma kuendelea na mechi kwenye fainali, baada ya upendeleo kuzidi... CAF wakaamua kufanya fainali moja kwenye neutral ground...... Fuatilia hata mechi za nyumbani na ugenini kwa timu nyingi mashabiki hawaendi..Sio hiyo ya faiinaali tu....