NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Oct 17, 2021 #221 Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... Ndio,kuifunga Simba ndo malengo ya Utopolo hayo awafikiri ubingwa wala kufanya vema kimataifa.
Gide MK said: Kwa kiwango hiki cha Makolo mwaka huu watapigwa na Yanga mara nne, 1.Ligi Mara mbili 2. FA 3. Mapinduzi Click to expand... Ndio,kuifunga Simba ndo malengo ya Utopolo hayo awafikiri ubingwa wala kufanya vema kimataifa.
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Oct 17, 2021 #222 Dk Ya 90....Bado za nyongeza
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,250 Reaction score 123,631 Oct 17, 2021 #223 Simuoni refa kuongeza dakika za nyongeza, na saizi ni dakika ya 92
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,303 Oct 17, 2021 #224 Tunawasubiri kwa Mkapa, kamati ya mapokezi mjiandae mapema airport
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,250 Reaction score 123,631 Oct 17, 2021 #225 Dakika 93 zimekamilika naona refa kapewa ruzuku
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,303 Oct 17, 2021 #226 Yanga mmeona jinsi mechi za kimataifa zinavyochezwa
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,303 Oct 17, 2021 #227 Nani anafaa kuwa man of the match kwa Simba?
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Oct 17, 2021 #228 FORTALEZA said: Yanga mmeona jinsi mechi za kimataifa zinavyochezwa Click to expand... Waone sio wanapuyanga tu uwanjani.
FORTALEZA said: Yanga mmeona jinsi mechi za kimataifa zinavyochezwa Click to expand... Waone sio wanapuyanga tu uwanjani.
mgunga pori JF-Expert Member Joined Jul 23, 2016 Posts 4,093 Reaction score 4,912 Oct 17, 2021 #229 Insigne said: Benchi lina kazi ya kufanya kwenye hiki kikosi mwaka huu Mark my words Click to expand... Mkuu ila mda mwingine kwenye football matokeo ni bora kuliko parten of playing
Insigne said: Benchi lina kazi ya kufanya kwenye hiki kikosi mwaka huu Mark my words Click to expand... Mkuu ila mda mwingine kwenye football matokeo ni bora kuliko parten of playing
NAWATAFUNA JF-Expert Member Joined Nov 14, 2019 Posts 13,281 Reaction score 24,064 Oct 17, 2021 #230 FORTALEZA said: Nani anafaa kuwa man of the match kwa Simba? Click to expand... Enock.
Greatest Of All Time JF-Expert Member Joined Jan 1, 2017 Posts 25,012 Reaction score 56,303 Oct 17, 2021 #231 Mpira umeisha,mwanzo mzuri!! Ukinuna uwe na sababu
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,436 Oct 17, 2021 #232 Hawa wacheza Makirikiri hakuna timu,wanafungwa na timu yenye kocha mwenye vyeti feki
K kinje ketile JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 5,364 Reaction score 10,103 Oct 17, 2021 #233 FT.......J.Galaxy 0 - S.S.C 2
Satoh Hirosh JF-Expert Member Joined Mar 30, 2021 Posts 7,150 Reaction score 28,864 Oct 17, 2021 #234 Full time Galaxy 0-2 Simba Hawa jamaa siyo wabaya kivile..na wangekutana na Ile timu ya mbogamboga,mbogamboga(uto) wangekunywa goli nyingi Tu😁😁
Full time Galaxy 0-2 Simba Hawa jamaa siyo wabaya kivile..na wangekutana na Ile timu ya mbogamboga,mbogamboga(uto) wangekunywa goli nyingi Tu😁😁
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,153 Reaction score 69,626 Oct 17, 2021 #235 Tunaendelea Tulipoishia Kwa Ushindi Wa Goals 2
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,250 Reaction score 123,631 Oct 17, 2021 #236 Mnajilaumu nini wakati waliofungwa wanashukuru hawajapigwa nne kama nyinyi tulivyo wafanya mwaka jana
Mnajilaumu nini wakati waliofungwa wanashukuru hawajapigwa nne kama nyinyi tulivyo wafanya mwaka jana
Mnyuke Jr JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 4,499 Reaction score 6,459 Oct 17, 2021 #237 Huu mwaka hakuna timu hapa
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Oct 17, 2021 #238 Gide MK said: Hawa wacheza Makirikiri hakuna timu,wanafungwa na timu yenye kocha mwenye vyeti feki Click to expand... Mwenye PhD alifanya nini?
Gide MK said: Hawa wacheza Makirikiri hakuna timu,wanafungwa na timu yenye kocha mwenye vyeti feki Click to expand... Mwenye PhD alifanya nini?
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,153 Reaction score 69,626 Oct 17, 2021 #239 Satoh Hirosh said: Full time Galaxy 0-2 Simba Hawa jamaa siyo wabaya kivile..na wangekutana na Ile timu ya mbogamboga,mbogamboga(uto) wangekunywa goli nyingi Tu😁😁 Click to expand... Wangekutana Na Lile Genge La Wahuni Wachache
Satoh Hirosh said: Full time Galaxy 0-2 Simba Hawa jamaa siyo wabaya kivile..na wangekutana na Ile timu ya mbogamboga,mbogamboga(uto) wangekunywa goli nyingi Tu😁😁 Click to expand... Wangekutana Na Lile Genge La Wahuni Wachache
Scars JF-Expert Member Joined Apr 8, 2017 Posts 50,250 Reaction score 123,631 Oct 17, 2021 #240 FORTALEZA said: Tunawasubiri kwa Mkapa, kamati ya mapokezi mjiandae mapema airport Click to expand... Au wangepumzika nusu saa afu mechi ya marudiano wacheze huko huko ili kuwasaidia wasipate hasara mara mbili walau waokoe nauli
FORTALEZA said: Tunawasubiri kwa Mkapa, kamati ya mapokezi mjiandae mapema airport Click to expand... Au wangepumzika nusu saa afu mechi ya marudiano wacheze huko huko ili kuwasaidia wasipate hasara mara mbili walau waokoe nauli