Hayaa Hayaaa Hayaaa, Mechi Ya Kujipima Uwezo Wao Kabla Ya Kuelekea Bostwana Kwenye CAF champions League, Mechi Ya Kufikisha Alama 4 kwenye Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mechi ya Mtu kufikisha Alama 6 kwenye Ligi kuu Tanzania Bara, Au unaweza Kuita Ni Mechi ya Kurudisha Matumaini Yaliyopotea Kwa Miongoni mwa mashabiki Wa Simba.
Leo Ni muendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bora, Ni kati Ya DODOMA JIJI na SIMBA SC kwenye Dimba La Jamuhuri. Uwanja Kidogo Ni wa matumaini Kulinganisha na Ule ma Msoma.