Assumption ni kwamba Mc Alger atapata point 3 kwa Mazembe zitamfanya afikishe point 10 hivyo mshindani wa Yanga kwenye nafasi ya pili ni Mc Alger hivyo Yanga ni lazima ashinde hata kama ni goli moja dhidi ya Al Hilal ili zimfikishe point 7. Game ya mwisho Yanga ana maliza dhidi ya mshindani wake ambapo Yanga ikishinda inakuwa na point sawasawa na mshindani wake. Hivyo ili wafuzu wanatakiwa washinde goli 3:0