Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,131
- 14,610
Ufafanuzi mzuri'Nafasi ya tatu wanang'ang'ania' kwani hao Uto ndio walioandaa hizo rank?
USMA kusumbuana na Al Ahly ni credit kwa Yanga kwasababu inaonesha kweli fainali alicheza na timu bora na hata kumfunga USMA nyumbani kwake ni kipimo bora kwa Yanga kwamba kamfunga timu iliyobora na sasa ndiye kidume cha mashindano yote ya CAF huyo.
Tuje sasa kwenye ishu ya rank maana imewatoa watu mapovu leo lakini kipindi Simba anawekwa kwenye ubora kumzidi Sevilla hamkuwa mnahoji.
Ipo hivi,. IFFHS inajihususha na namba pekee na ndio maana wanaitwa international federation of football history and statistics, wao wana deal na overall performance ya timu katika michuano yote anayoshiriki ( michezo ya kitaifa na kimataifa) kisha wana record kila kitu kwanzia magoli ya kufunga, idadi ya magoli ya kufungwa, idadi za clean sheet, idadi ya michezo uliyoshinda, n.k wanachukua kila data inayohusiana na performance kisha vinawekwa katika asilimia ndipo unaona mwisho wa siku wanaweka rank na point. USMA kafanya vizuri kwa kuchukua kombe la shirikisho lakini je kwenye hilo kombe la shirikisho anatakwimu nzuri kuizidi Yanga? Na vipi katika mashindano ya ndani je ana takwimu bora kumzidi Yanga?
AahaaaaaaaMbumbumbu fc kila wanalo jaribu kulisema kiwe kama kichaka cha kuficha udhaifu wao kina chomwa moto[emoji3][emoji3][emoji3].
USM Alger wamewaonyesha timu inayojua inajua tu haijalishi ipo shirikisho au klabu bingwa.
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Achana na huyo mjinga.Wangefungwa pia Mashabiki uchwara wa USM ALGER wasingekosa sababu kujitetea kuwa bado Wachezaji wapya hawajawa na football consistency (Chemistry) nzuri.
Lini utakuwa mwanamichezo badala ya kuwa Shabiki liandamizi la Makolokolo FC tokana na chuki, uzandiki, unafki na roho mbaya ili uwe neutral kiakili (flexible) kukubali ukweli?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Huenda hata mwakani bingwa akatoka huko huko kwa Loosers kwa wanaojua mpira.Hayo utasema wewe, ila tunachojua CAFCC imetoa bingwa wa CAF super cup kwa misimu miwili mfululizo
Mpira hauna maombi kama unajua kuomba ombea huko Zambia leoTungewaombea USM Alger ila Uto wataanza upumbavu kujilinganisha na Al Ahly.
Utasikia, Utopolo sisi ni bora. Hao waliowapiga Al Ahly sisi tuliwafunga kwao.
Pumbavu.
Kuna kipindi bingwa wa Europa League anamfunga Bingwa wa UEFA CL kwenye UEFA Supercup, kwa hiyo tusema pia Europa ni bora kuliko UEFA?Wangefungwa pia Mashabiki uchwara wa USM ALGER wasingekosa sababu kujitetea kuwa bado Wachezaji wapya hawajawa na football consistency (Chemistry) nzuri.
Lini utakuwa mwanamichezo badala ya kuwa Shabiki liandamizi la Makolokolo FC tokana na chuki, uzandiki, unafki na roho mbaya ili uwe neutral kiakili (flexible) kukubali ukweli?
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndio mtie akili hakuna mashindano madogo by the way maana ya super cup ni kumtafa mbabe wa wababe kasha patikana jibu unaloKuna kipindi bingwa wa Europa League anamfunga Bingwa wa UEFA CL kwenye UEFA Supercup, kwa hiyo tusema pia Europa ni bora kuliko UEFA?
Sevilla alitoa draw na City kwenye supercup mwaka huu, kwa hiyo tuseme Sevilla analingana na City kwenye ubora?
Mashindano yanatofautiana ubora ndio maana aliyefeli Klabu Bingwa anatupwa Shirikisho ila aliyefeli Shirikisho hawezi kutupwa kwa mabingwa, na hata zawadi kwa mshindi wa Shirikisho ni ndogo mno ukilinganisha na zawadi kwa mshindi wa mabingwa...Tumieni akili hata kidogo tuNdio mtie akili hakuna mashindano madogo
Unadhani Rage alitamka bahati mbaya? aliwajua watu wake, sasa imekuaje imekuaje alie feli kamkalisha kipanga? tena kashindwa kupata hata goli la offsideMashindano yanatofautiana ubora ndio maana aliyefeli Klabu Bingwa anatupwa Shirikisho ila aliyefeli Shirikisho hawezi kutupwa kwa mabingwa, na hata zawadi kwa mshindi wa Shirikisho ni ndogo mno ukilinganisha na zawadi kwa mshindi wa mabingwa...Tumieni akili hata kidogo tu
🎤🎤🎤Sasa kutokea shirikisho maana yake michuano ya shirikisho ni bora kuliko Club bingwa?
Haya sasa zamu yenu kufika fainaliMashindano yanatofautiana ubora ndio maana aliyefeli Klabu Bingwa anatupwa Shirikisho ila aliyefeli Shirikisho hawezi kutupwa kwa mabingwa, na hata zawadi kwa mshindi wa Shirikisho ni ndogo mno ukilinganisha na zawadi kwa mshindi wa mabingwa...Tumieni akili hata kidogo tu