Kilichonishangaza hawa Azam walivyowapokea wageni wao Pyramids kuanzia Airport, hotelini mpaka wanaenda uwanjani. Wakifika uko Misri nawao kama watafanywa ivyo basi Ole sabaya atolewe kwa msamaha wa Raisi
Yap waliojiona miamba wakataka ushujaa kwa kufosi, wakaona hawa mafarao tukiwapeleka pale kwa mkapa watacheza kama wako kwao
Sijui nani alitoa ushauri ule kua waende mwanza kwenye uwanja ambao hata wao kihistoria hawajawahi kuwa na matokeo mazuri. Ingekua manara alikuwepo ningesema ni yeye alitoa huu ushauri mbovu, sa sijui nani huyo
Ni faida kwa Azam. Wakifika Misri wapige kamoja tu! Hata wakisawazisha bado Azam watasonga mbele!! Safi sana, syo kama yanga waliotuvika aibu kwa kufungwa nyumbani.