Tumia mitandao ya kijamii kwa kujiletea maendeleo na siyo kueneza chuki,ukabila na udini.Tafadhali epuka lugha ya kashfa na matusi kwenye mitandao ya kijamii.
Ila hizo lugha za uchochezi tukazitoe makanisani,misikitini na white house dodoma?hawajielewi hawa.waanze na Lukuvi,JK na magamba mengine.Hivi TCRA Wanasimamia mawasiliano ya aina gani,mbona wanabase kwenye mitandao tu!