chama mpangala
JF-Expert Member
- Sep 3, 2015
- 623
- 942
Acha hiyo tabiaHapana mkuu,
hii kitu, hii kitu, hi kituuu hiii
kawimbo flani hiviiii
hapana hasira ila matendo unayofanya hayana tofauti na ID yako na sijui ulifikiria nin mpaka ukajiita ibilisiacha hasira mkuu
hsetani nae anastahili sifaahapana hasira ila matendo unayofanya hayana tofauti na ID yako na sijui ulifikiria nin mpaka ukajiita ibilisi
Mzima, tunazidi kulisongeshaaYule mnyaki vip acha tu wazazi wakuchagulie mke
sawa ibilisihsetani nae anastahili sifaa
kosa mali upate akili, kila la kheri katika safari yako ya kutafuta magonjwa.
Uungaji wa hovyo hovyo [emoji125] [emoji125] [emoji125]nakuunga mkono moja kwa moja
Asantee mkuuMTOA MADA HAJAKOSEA KWANI KUNA URAFIKI,MAPENZI,UCHUMBA NA NDOA HAYA NI MAHUSIANO TOFAUTI KABISAA JIULIZE UKO KATIKA MAHUSIA YAPI KATI YA HAYO TAJWA HAPO JUU