I like this kind of reletionship, nimeshindwa kuachaa kwa kweli
Nilianza haka katabia nikiwa form 6, nilikuwa na demu waku ambaye alikuwa anarafiki yake wanasisoma nae. Nilijikuta nimemtongoza na yeye lakini aliniambiaa ana mtu wake.
Tulibahatika mimi, demu wangu na rafiki wa demu wangu kuwa chuo kimoja lakini mchizi wa demu huyu alikuwa chuo kingine lakini cozi tofauti.
Tulijikuta tunaingia kwenye mahaba mazito baada ya mimi kupangisha gheto. Mapenzi yetu yakawa only for sex, akija mchizi wake kumtembelea wanaenda zao gest bila mimi kuwa na kiunyongoo. Hata demu wangu akija huniachiaa bila queree.
Nimemaliza chuo, kuna kademu kapo hapa mtaani kanamjua mpenzi wangu. Yeye pia anamchizi wake. lakini huwa nakagegeda kikija gheto kuchukua muvi.
Napenda wanawake ambao ni waelewaa, na sio kila unayemtongoza anataka future na wewe, sometime sex for leisure.