Fridge Ndogo inauzwa

Fridge Ndogo inauzwa

winchester

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2015
Posts
284
Reaction score
333
Habari , nauza fridge ndogo, bei ni 250,000/- . Fridge linafanya kazi vizuri halina shida yoyote linatumia umeme kidogo sana , naliuza sababu nimepata jingine kubwa. Lipo kinondoni mkwajuni Dar es salaam 0714890018.
 
Attachments

  • 15388949415801455894017223964654.jpg
    15388949415801455894017223964654.jpg
    164.5 KB · Views: 32
  • 15388950018922651061237645662465.jpg
    15388950018922651061237645662465.jpg
    125.2 KB · Views: 36
  • 1538895027874336617613332627159.jpg
    1538895027874336617613332627159.jpg
    88.3 KB · Views: 30
Mkuu uwezekano wakufika mbeya upo ili tuongee tunafanyaje maana ninauhitaji
 
Mkuu uwezekano wakufika mbeya upo ili tuongee tunafanyaje maana ninauhitaji
kama una ndugu yupo dar , unaweza kumwambia aje akuchekie, au kama unaweza kuorganise njia ya usafirishaji hakuna shida
 
kama una ndugu yupo dar , unaweza kumwambia aje akuchekie, au kama unaweza kuorganise njia ya usafirishaji hakuna shida
Hapo ndo shida mkuu serious sina ndugu dar labda Kama siwafaham ila ndugu sina nawaza namna yakufika nalo huku inakuaje pia usafili
 
Hapo ndo shida mkuu serious sina ndugu dar labda Kama siwafaham ila ndugu sina nawaza namna yakufika nalo huku inakuaje pia usafili
upo mbeya sehemu gani nitsjaribu kucheki na wasafirishaji
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom