Fridge Brand : LG
Bado jipya kabisa
Ni energy server, (Linatumia umeme kidogo, Linajiwasha na kujizima automatically)
Lina Party ya Freezer (kugandisha) na kawaida
Lina warranty ya miaka 10.
Bei ni 800,000/- tu , (Dukan ni 1.2M, risiti zipo)
Lipo Dar , mwenye kuhitaji aje PM