matangazo mengine wakuu muwe mnajifunza hata kuibia elimu kwa majirani. unata jokofu lakini husemi uko wapi. mawasiliano yako, huelezei gharama za kusafirisha utalioa mwenyewe au la! hata ungekuwa unakaa kigamboni na mimi niko posta lazima gharama ihusike. vipi nikiwaza unakaa Lindi Mtwara na muuzaji yuko Rwamishenye Bukoba. tujifunze kupunguza utata usio wa lazima.