No no 52 alishaniPM kua anaanzisha Uzi then ananipigia pande - pasi ndefu kwangu then mi natiririka nayo!
Hahahaaaa round hapa ni km kupunga upepo baharini.....
Kamata ndovu au nikuletee konyagi ya Kopo?
na wewe pia ila Jpili ntakuwa taifa kuona simba anapakatwa..
Wachawi hakuna au hawajafika....
Lol ngoja kuna mtu hajafika hapa...utaona atakavyologa....
Hahahaaa ukirudi we utakuwa noma kuliko wa-Nigeria.....LolNawajua sana! Na nimeanza kutenga fungu la fund kwa ajili yao!
Likizo yangu safari hii naimalizia siku 15 Sumbuwanga na siku 15 Bagamoyo!