Asante Zubeda_Michuzi kwa kuonyesha hisia zako kuwa tangazo hili ni la "Utapeli" . Lakini sina zaidi ya kukuhakikishia wewe na wadau wengine kuwa huwaga sinaga muda wa kupoteza kwa ajili ya kukusudia kumtapetili mtu. Ila naamini kuwa fikra katika jambo si lazima zifanane kwa wakati fulani au daima. Hata wale wanaoamini kuwa kuna siku ya kiama/ siku ya hukumu wasije wakashangaa na kutaharuki wakisikia au kukutatana na watu wengine wasioamini hilo wala kutaka kusikia hilo. Lakini kutokuamini hakufanyi kitu husika kutokuwepo.
Jamani nasisitiza tena, kama kuna mtu yuko interested atume application yake pengine Zubeda_Michuzi anatumia mbinu ya skimming ili kuwatisha wengine wasi-apply ili ushindani upungue. Epukana na mawazo yanayofanana na hilo la Zube wa Michu
Wasaalam tena.