FREMU YA BIASHARA MWENGE

Tezzah Finest

Member
Joined
Jun 15, 2019
Posts
9
Reaction score
2
Za sahiz wadau,naomba kuuliza kwamba fremu ya biashara mwenge naweza kupata kwa gharama gan kwa kila mwezi?
 
Kuna ndugu yangu alikua na frame hapo, hizi frame mpya,alifungua saloon ya kike ,alikua analipa laki 5 per month, ila kuna mzunguko mzuri Wa biashara. But sijui Kwa sahivi huenda imepungua kiasi

Jaribu kufika hapo uulizie
 
Shukuran xana,nilikuwa nina mpango wa kufungua biashara ya vinywaji hapo(soft drinks)
 
Kuna ndugu yangu alikua na frame hapo, hizi frame mpya,alifungua saloon ya kike ,alikua analipa laki 5 per month, ila kuna mzunguko mzuri Wa biashara. But sijui Kwa sahivi huenda imepungua kiasi

Jaribu kufika hapo uulizie
Shukran sana,vp nikijaribu biashara ya vinywaji(soft drinks)
 
mwenge hela ipo ujue tu kuweka biashara inayohitajika...na ujue kujiongeza..Frem ni 500k kwenda mbele huko
 
Nataka nifanye overall yaan jumla na rejareja
Andaa vijana wa kusambaza vinywaji kwa wateja wako wa jumla...waokoleee gharama ya usafiri (utapiga hela maana wote watakuja kwako)

Reja reja Utapiga pia sana hela kulingana na wapi upo ofisi yako imekaaje...

Hapo kwenye jumla komaa napo pana hela zaidi kama ukipata vijana sharp
 
Shukran mkuu
 
Ila na wew mtoa mada kwanini usifanye survey? Maana naona kama wote wanaokupa ushauri hapa hawajawahi kufanya biashara mwenge!. Labda wanaskiaga tu, Mwenge kuna ugumu wakupata fremu nzuri ambayo ipo centre . Na ili upate itabid uwe mpaka na kilemba. Mimi ninauzoefu wa miaka mingi na mpaka sasa nipo Mwenge kibiashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…