Tatizo siyo kukodi tatizo ni uaminifu mana dunia imeharibika sana mtu aweza toa kitu kwa msingi wa kusaidiana ila mwisho wa siku nikaja jutia, nina freezer jipya lina muda wa miezi 6 ila assuarance ya chombo pindi nitakapokuachia
Mimi nilinunua 1.5mil.
Lipo stoo wala sio utani utani.
Kama unahitaji njoo inbox nikupe namba ya dealer
Haya makitu unaweza yadharau ila ni muhimu sana kwenye ujasiliamali