Freeze screen

mamso

Senior Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
174
Reaction score
195
Naombeni msaada wa mawazo niña laptop hp 2000 ina freeze mouse na screen ina freeze kila kitu haki respond. Naomba mwenye aliwahi pata tatizo kama hili anaiambie nini shida.
Asante
 
Natumia Windows 8.1
 
Inafreeze wakati gani? Kila mara au?
 
MARA nyingi baada ya kuwasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…