Pichani ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Bwana Freeman Aikaeli Mbowe (wa Pili kutoka Kushoto) akiwa Pamoja na Mwanamuziki Nguli kutoka Zaire (Sasa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo) Bwana Koffi Antoine Olomide (wa Tatu kutoka Kushoto waliokaa).
Bwana Freeman Aikaeli Mbowe na wenzie waliopo kwenye Picha ndio waliofanikisha Ziara ya Kwanza ya Mwanamuziki huyo Mashuhuri wa Afrika Nchini katika Miaka ya 90 Mwanzoni, Wa Kwanza kulia waliokaa ni Bwana Ronie Mtawali ambaye alikuwa Meneja wa Kwanza wa Club Billicanas.
papa wemba mbona simuoni?

Maafisa usalama wa Taifa walipokwenda kwa Mzee Aikaeli kumwambia kwamba Mwalimu Nyerere amekubali ananunue Jeneza la kumzikia Aishi toka London, mzee Aikaeli alifurahi sana na kuwashangaza wale Maafisa Usalama wa Taifa. Kwa Mzee Aikaeli vinywaji vilikuwa havitolewi na Glasi. Kama unataka Martins basi jua utapewa chupa yako mpya kabisa umalize au ubakize kazi kwako
That will be promo.., and it ain't a story worth telling (most people donate) but dishing out JD's, Johhnie Mtembezi's and Martins in bottles like dishing out some soft drinks or Maji ya Uhai !!! ..., that's a story worth telling we can say that is kula Bata the expensive way...Kwenye Red- LAVISH LIFE: Maisha ya watu wasiomjua/abudu MUNGU. ingependeza ukaeleza wanachangia sana Kanisani au kutoa/kusaidia wenye shida au jamii lakini sio huu ulafi na utapakanishaji.