vpn zote zina slow ping, sababu unarefusha mlolongo wa kutumia internet.
-kuingia jf bila vpn
ukiiingia jf unaomba moja kwa moja toka server za jf page unayotaka
-kuingia jf na vpn xxx
unaomba server ya vpn xxx iombe page toka server ya jf then ikipewa ikutumie wewe.
hivyo unaona mlolongo ni mrefu ukitumia vpn.