Free domain ya Blog.com

lete rimoti

Senior Member
Joined
Aug 24, 2021
Posts
159
Reaction score
202
Wakuu Namba maelekezo Kwa anae ijua Kampuni ya ads ambayo inaruhusu kuweka matangazo katika blog zenye Free domain.

Nimekutana na Blog zenye Free domain ya Blog.com
Jamaa wameweka ads Maisha yanaendelea.
 
Mamaeee Watu wapo kimya Tu. Kweli kwenye michongo Watu wanafyata.
 
Mbona google adsense, adcash, adsterra, hilltopads, exoclick na mingi tu wanaruhusu subdomain
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…