Wapo wanaotoa free Service. Ajaribu kutafuta. Soma comment ya #6 nimemwambia gharama ni Tsh. 5,000 tu. Ukiingia kwenye website niliyooitoa (si yangu) ni USD 6. Ukiibadilisha na pesa ya kibongo. Tuchukulia USD 1 = 2200, je, USD 6=Tsh?
Hapo utapata fedha za kitanzania 13,200. Kama unaweza, msaidie wewe. Ila gharama yangu ni 5,000 tu.