kwa wale wenye vifaa vya kwenye masherehe na uwezo wa kuendesha masherehe... kuanzia washereheshaji(MCs) hadi wapishi... karibu katika website www.kodishatz.com utangaze vifaa vyako bure... wasiliana nasi +255752511099
Jamani hii tabia ya kuvamia uzi wa mwenzako ni ujinga uliotukuka, mwenzako katangaza bidhaa yake we nawe untangaza yako ndani ya huo huo uzi, hivi tumelogwa na nani? Can't we think even a bit? Seriously? Tujifunze ustaarabu na modes musionee aibu haya mambo. People must learn how to use this app effectively lakini munaona n hamuchukui hatua, comeon guys!