Ni kweli Mpendazoe ni jembe msaliti ni mzee wa viwango na kasi aliyemtosa mwenzake na ccj. Karibu sana Kishapu mheshimiwa. Jimbo liko wazi. It is here for the taking.
Sasa anajuta kwanini aliwaacha wana KISHAPU, na kuamua kujiunga na wahuni.
Ubunge atausikia tu, Sidhani kama wana KISHAPU wanataka Mbunge Kigeugeu kama yeye!