Weka bei co unaandka bei poa also pcha kwn hujui kawaida ya matangazo mkubwa?
Au unaona raha upgwe cm uanze kulzwa bei
Na we acha kukurupuka au unaaandika uko usingizini? Ina maana bei hujaiona hapo? Hizi post za kuchangia saa saba usiku zina shida. Haya inuka umuombe mkuu msamaha!