A Abelian JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 204 Reaction score 33 Jul 7, 2013 #1 kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga
KILIVITE JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 1,302 Reaction score 556 Jul 7, 2013 #2 Hongera,tutajia jina la mkuu wa shule na namba zake za simu
I isiaka6 Member Joined May 9, 2013 Posts 67 Reaction score 7 Jul 7, 2013 #3 Mkuu unauhakika? Au ndio unabuni?.Tupe namba za mkuu wa shule.
Kun Jr JF-Expert Member Joined May 29, 2013 Posts 700 Reaction score 363 Jul 7, 2013 #4 Abelian said: kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga Click to expand... mkuu wa shule ipi? Au mkuu wa mazuzu sec school hahahahaha umetisha sana
Abelian said: kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga Click to expand... mkuu wa shule ipi? Au mkuu wa mazuzu sec school hahahahaha umetisha sana
tereweni JF-Expert Member Joined Aug 15, 2012 Posts 621 Reaction score 373 Jul 7, 2013 #5 Mkuu zina ukweli hizo habarii zako Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
A Abelian JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 204 Reaction score 33 Jul 7, 2013 Thread starter #6 muulize headmaster yoyote atakupa majibu..si utani kikubwa nilitaka mjue selection zipo poa but wasi wasi wangu kwanini wameyapeleka mashuleni bila hata kuyaweka kwenye net Ukitaka ..nisije ng'olewa kucha mie
muulize headmaster yoyote atakupa majibu..si utani kikubwa nilitaka mjue selection zipo poa but wasi wasi wangu kwanini wameyapeleka mashuleni bila hata kuyaweka kwenye net Ukitaka ..nisije ng'olewa kucha mie
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Jul 8, 2013 #7 Abelian said: muulize headmaster yoyote atakupa majibu..si utani kikubwa nilitaka mjue selection zipo poa but wasi wasi wangu kwanini wameyapeleka mashuleni bila hata kuyaweka kwenye net Ukitaka ..nisije ng'olewa kucha mie Click to expand... dah, ngoja nifanye uchunguz.. Lazma kuna k2 nyuma ya pazia.. Usiogope kung'olewa kucha kaka tutakulinda
Abelian said: muulize headmaster yoyote atakupa majibu..si utani kikubwa nilitaka mjue selection zipo poa but wasi wasi wangu kwanini wameyapeleka mashuleni bila hata kuyaweka kwenye net Ukitaka ..nisije ng'olewa kucha mie Click to expand... dah, ngoja nifanye uchunguz.. Lazma kuna k2 nyuma ya pazia.. Usiogope kung'olewa kucha kaka tutakulinda
A Abelian JF-Expert Member Joined Mar 8, 2013 Posts 204 Reaction score 33 Jul 8, 2013 Thread starter #8 kama ulijaza anuani ya shule basi mpigie simu headmaster wa shule ulionalizia atakupa maelezo kuhusu shule uliopangiwa
kama ulijaza anuani ya shule basi mpigie simu headmaster wa shule ulionalizia atakupa maelezo kuhusu shule uliopangiwa
M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 326 Reaction score 62 Jul 9, 2013 #9 Abelian said: kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga Click to expand... Ni kweli majna yapo shulen tayar ....subiri waziri huska atangaze ndo mtapata via moe.go.tz lakn science ni weng sn kulko arts,,.
Abelian said: kumbe majina ya wanafunzi watakaojiunga cha tano tayari yapo mashuleni source mkuu wa shule moja kanionyesha live bila chenga Click to expand... Ni kweli majna yapo shulen tayar ....subiri waziri huska atangaze ndo mtapata via moe.go.tz lakn science ni weng sn kulko arts,,.
AdvocateFi JF-Expert Member Joined Jan 15, 2012 Posts 11,492 Reaction score 5,049 Jul 9, 2013 #11 Uongo mtupu.
I isackk6 Member Joined May 26, 2013 Posts 14 Reaction score 0 Jul 9, 2013 #12 n kwel kabsa ata mwalm mkuu kasema
S Sine r Winters Senior Member Joined Jul 10, 2012 Posts 110 Reaction score 15 Jul 9, 2013 #13 mkuu wa shule gan?
N nashy pascal Senior Member Joined May 23, 2013 Posts 111 Reaction score 2 Jul 9, 2013 #14 unaota wew amkaaaaa
george de hero Senior Member Joined Jul 7, 2013 Posts 122 Reaction score 14 Jul 9, 2013 #15 acheni kutoa habari za kizushi mnawarusha roho pre-form five
Kaliro X JF-Expert Member Joined Apr 18, 2013 Posts 749 Reaction score 440 Jul 9, 2013 #16 Sine r Winters said: mkuu wa shule gan? Click to expand... hata shule niliyohtmu mimi o-level last year inaitwa Makita High School ipo Ruvuma headmaster aliwaambia wanafnz wa f6 mwaka huu kwmb amepatiwa majna ya wanafnz 80 combi 2(HGL&CBG)
Sine r Winters said: mkuu wa shule gan? Click to expand... hata shule niliyohtmu mimi o-level last year inaitwa Makita High School ipo Ruvuma headmaster aliwaambia wanafnz wa f6 mwaka huu kwmb amepatiwa majna ya wanafnz 80 combi 2(HGL&CBG)
G Generally faraji Member Joined Jan 29, 2013 Posts 47 Reaction score 0 Jul 10, 2013 #17 Hakunaga habr uzush
MARCKO JF-Expert Member Joined Jun 10, 2011 Posts 2,258 Reaction score 275 Jul 10, 2013 #18 uzushinaizeshen
I incredible thinker Member Joined Apr 17, 2013 Posts 38 Reaction score 2 Jul 10, 2013 #19 mimi nimesha ziona na nimejiona nilipo chaguliwa habari hizi ni kweli kabisa....
Mla Bata JF-Expert Member Joined Jan 24, 2013 Posts 8,164 Reaction score 18,671 Jul 10, 2013 #20 incredible thinker said: mimi nimesha ziona na nimejiona nilipo chaguliwa habari hizi ni kweli kabisa.... Click to expand... Incredible we umezionea wapi mkuu, tuambizane basi.
incredible thinker said: mimi nimesha ziona na nimejiona nilipo chaguliwa habari hizi ni kweli kabisa.... Click to expand... Incredible we umezionea wapi mkuu, tuambizane basi.