S scotmackie New Member Joined Jul 2, 2016 Posts 1 Reaction score 0 Jul 2, 2016 #1 Matokeo ya kidato cha sita yanatoka lini??
Yugu JF-Expert Member Joined Dec 18, 2014 Posts 1,080 Reaction score 329 Jul 2, 2016 #2 ha ha uwe mpole ushachoka mara hii? wenzio wamehitimu toka mwaka jana na bado hawajapata ajira na wapo kimyaaaa. Zoezi la kusahihisha lilimalizika may 14
ha ha uwe mpole ushachoka mara hii? wenzio wamehitimu toka mwaka jana na bado hawajapata ajira na wapo kimyaaaa. Zoezi la kusahihisha lilimalizika may 14