K kimbomba25 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,182 Reaction score 2,152 Dec 23, 2018 #1 Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora. Natanguliza shukrani
Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora. Natanguliza shukrani
F fikirikwanza JF-Expert Member Joined Jan 25, 2012 Posts 7,452 Reaction score 3,073 Dec 23, 2018 #2 Tafuta namba zao za simu, uwapigie wakutumie; hapa JF tunajadili tu kama formu inamapungufu au mambo ya ajabu kama lazima mwanafunzi aje na kadi ya ssm
Tafuta namba zao za simu, uwapigie wakutumie; hapa JF tunajadili tu kama formu inamapungufu au mambo ya ajabu kama lazima mwanafunzi aje na kadi ya ssm
Job K JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 9,314 Reaction score 7,165 Dec 23, 2018 #3 kimbomba25 said: Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora. Natanguliza shukrani Click to expand... Ingia website ya wizara ya ELIMU utakuta huko kila shule unajichagulia shule unayotaka!
kimbomba25 said: Naomba msaada wa Joining instruction ya kidato cha kwanza shule ya sekondari ya wasichana Tabora. Natanguliza shukrani Click to expand... Ingia website ya wizara ya ELIMU utakuta huko kila shule unajichagulia shule unayotaka!
K kimbomba25 JF-Expert Member Joined Jan 27, 2017 Posts 1,182 Reaction score 2,152 Dec 23, 2018 Thread starter #4 Nashukuru sana mdau.
kayaman JF-Expert Member Joined Aug 3, 2013 Posts 4,516 Reaction score 10,436 Dec 23, 2018 #5 Mtoto wako akifika tabora girls mwambie pale jirani kuna vijana wa tabora boys bila kusahau wahuni wa milambo wanagenye kama zote
Mtoto wako akifika tabora girls mwambie pale jirani kuna vijana wa tabora boys bila kusahau wahuni wa milambo wanagenye kama zote