Criss donatus
Member
- Jun 6, 2021
- 18
- 10
Unapotafuta kazi usiwe na mipaka ya mikoa we sema popote kambiWanajamii mimi forklift operator elimu kidato Cha sita pia ni dereva naombeni msaada yeyote anayejua kuna kiwanda au warehouse au kampuni yoyote ambayo nkienda kuomba naweza kupata kazi aniambie. Iwe Dar, Pwani, Tanga, Moro nafika 0623736996 mwenye connection
Nashukuru nduguAll the best
Narudia tena nenda tanga port pale mitambo hiyo imeletwa na mingine mingi bandari inatanuliwa ukipija pale ..unaangalia na kule chongoleni kwenye bomba la mafutaSaw mkuu ngoj ntafte connection
Saw kaka Kuna jamaa yang nazngumza naye kuhusu tanga kaka nashukul apa nasubil interview kwa mchina jumamoc alaf naenda mwenyw tanga nashukul San ndugu yangNarudia tena nenda tanga port pale mitambo hiyo imeletwa na mingine mingi bandari inatanuliwa ukipija pale ..unaangalia na kule chongoleni kwenye bomba la mafuta
[emoji120]umesomea kozi iyo muda gani chuo gani nilishawahi taka kuisoma last month baada ya kuona upanuzi wa bandari zetu hizi aSaw kaka Kuna jamaa yang nazngumza naye kuhusu tanga kaka nashukul apa nasubil interview kwa mchina jumamoc alaf naenda mwenyw tanga nashukul San ndugu yang
Kaka jumapil mapema nko tangaUjenzi wa bomba la mafuta naona sahiv rasmi unaanza ukipita chongoleani watu wapo bize karibu sana tanga kama ukifanikiwa apa umekula shavu hadi ajira za moja kwa moja asee
Op wa Mungu bado jumapil ndo naingia tanga nkachek mwenywOp op mambo niaje vp umefanikiwa test kwenye bomba la mafuta au tanda port?
Coz wik sita kaka[emoji120]umesomea kozi iyo muda gani chuo gani nilishawahi taka kuisoma last month baada ya kuona upanuzi wa bandari zetu hizi a
Asnt kaka kwa kunifungua kuhusu coz ukinpgia kwa namba hyo ntakupa maelekezo A to ZUjenzi wa bomba la mafuta naona sahiv rasmi unaanza ukipita chongoleani watu wapo bize karibu sana tanga kama ukifanikiwa apa umekula shavu hadi ajira za moja kwa moja asee
Chuo gani?Coz wik sita kaka
Chuo Cha bandari dar es salaam ,NIT na IHEtChuo gani?