Forex inafaida nimeshuhudia mwenyewe

comesucces

Senior Member
Feb 21, 2017
160
105
Helloo wa ndugu kati ya watu wabishi na mimi nimo lakini kuinvest kwenye biashara hii kweli nilijitoa mhanga na saivi nitakuwa nina uhakika wa kulaza zaidi ya sh 70000 kama faida per day kwa ssbsbu juzi nilijaribu kiwekeza tsh 60000 lakini leo nimepata faida ya tsh 42000 nitadumu ila kwa yule mwenye kundi la whstsapp la forex trading naomba aniunganishe ili nijifunze zaidi na nizidi kuwekeza
 
Aaaah aaah umeona trending inapotea ukaamua uje na id ingine.... uchochee teeenah.

Ok nimekusoma... tupee link ya thread ulizokuwa unapinga
 
Aaaah aaah umeona trending inapotea ukaamua uje na id ingine.... uchochee teeenah.

Ok nimekusoma... tupee link ya thread ulizokuwa unapinga
Mkubwa una akili sana unajua mtu inabidi ujiulize katika forex hiyo faida wewe unaitengeneza at whose expense? Mfano mfanyabiashara anatengeneza faida at the expense of a producer let's say a farmer or a miner or a fisherman sasa hii forex unatengeneza faida at whose expense or taking whose advantage?
 
Hii biashara kweli ipo, kwani bureau de change si wanafanya biashara ya kuuza hela? biashara zote duniani kati ya nchi na nchi zinategemea kubadilisha thamani ya fedha kutoka nchi moja kwenda thamani ya fedha ya nchi tofauti ingawa kwa kiasi kikubwa ni fedha ya Marekani, Ulaya na Japan ndizo zinatumika zaidi.

Hii ya mtu mmoja mmoja kuwekeza kwenye forex kupitia kwa broker basically ni kumkusanyia mtaji yeye ili anapouza mnagawana faida. Na faida utapata kama bei ya kununulia itakuwa chini ya ile ya kuuzia, vinginevyo utakula hasara. Sasa kwa vile masoko ya fedha yako dynamic sana kutegemea na siasa/uchumi na uhusiano wa kimataifa ndo unaona forex trader wengi wanakuwa bize kufuatilia mwenendo wa masoko ya fedha, habari za biashara na hata siasa duniani.

Sasa basi kama zilivyo biashara nyingine zozote hata hapa kwenye forex kuna wajanja ambao kazi yao ni kuwaingiza mjini watu wasio na uelewa wa namna biashara inavyoendeshwa. Kifupi matapeli wapo kwenye kila aina ya baishara.

Unachopaswa kufanya ni kuwa makini na kujifunza sana ili uweze kushiriki kwenye hii biashara.

Kumbuka kitu kimoja though, Forex ni very risky business and that is why it has good returns, ila ukila hasara ni hasara ya maana.

kazi kwako sasa!
 
 
Mi mniache hujarazimishwa kwanza hata sijakuomba mimi ndo nimeona faida
 
Elimisha usiwe mchoyo!!
1.Unatumia platform gani?
2.Unatumia broker yupi?
3.Unatumia stop loss yenye interval ya ngapi inayokupa faida?
4.Bank gani unatumia kuwithdrwal e-wallet?
**SHARE YOUR EXPERIENCES~WHILE IT IS A GREAT IDEA TO DISCUSS YOUR OPINION ON THE MARKETS WITH OTHERS**
 
Endelea kujiuliza mkuu
 
Mbona umekaa kimya jaribu kujibu maswali uliyoulizwa maana kama umepata faida mi vyema sasa umetumia platform ipi na brocker wako ni yupi kwa mimi huwa natumia brocker anaeitwa easy market na platform ninayotumia ni mt4 hawa nawaamini na wakunisaidia kupunguza hasara zisizo za lazima yupo ambae ni pipbrecker wangu huyo huyu lazima umlipe bei kubwa kama ndio unaanza muweke pembeni kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…