Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa tokana na ‘stabilized' Aloe vera gel pamoja na bee propolis hivyo huu bacteria na vijidudu vyote.
- Inang'arisha meno bila ya kuchuna tabaka la juu la meno – ENAMEL
- Huzuia meno yasitoe damu , kuponya vidonda vya mdomoni na endapo kuna maumivu mdomoni unaweza kupaka kwenye meno moja kwa moja bila ya kupiga mswaki.
- Husaidia kusafisha fizi na kuzifanya tishu zake ziwe na afya imara.
Haina fluoride kama dawa nyingine za meno sokoni. Fluoride ikimezwa huweza kusababisha madhara mwilini.
TZS 13,500/-
Aloe Vera: FOREVER BRIGHT TOOTH GEL
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site.
Learn more…