Kilichopo hapa ni kuongezeka kwa mahitaji ya dollar, hakuna ambacho watanzania wanauza nje ili kupata dollar, ila tunahitaji dollar zaidi kwenda kununua mahitaji yetu nje ya nchi kama vile china, dubai, japan n.k.Kumbuka vile vile mwisho wa mwaka kiserikali unakalibia, hivyo watu wanafanya Importation zaidi ili wasije bumbwa na mabadiliko katika kodi kama yatatoke baada ya Government Budget. Tungekuwa tuna viwanda na mahitaji yetu yakapatikana hapa shilingi yetu ingekuwa stable. Vile kama mauzo yetu ya gold yangefanjwa hapa hapa tanzania chini ya usimamizi wa kampuni au BOT, basi shiling yetu ingekuwa stable pia............... wenye mawazo zaidi karibuni