senkyu mkuuu
halafu wewe una kesi ya kujibu
ipi tena hiyo?
kupotelea hewani wakati tulikuwa hatujamalizana bado
Shukraan Mkuu Utafiti..very useful info. na educative.... vitu vya kawaida kabisa.Take care
Shukraan Mkuu Utafiti..very useful info. na educative.... vitu vya kawaida kabisa.
Karibu sana life is Short
Eee bwanaee hapo ndiyo mafunzo ya uhai unayaona yaani from A,B,C,D......hadi Z (mzunguko) yasikitisha.Unamkumbuka Mohamed Ali mkuu? Allah amrehemu huko aliko...