Am personally disappointed on this, better we could suffer but standful to what we believe...hatuhafikia stage ya kulilia misaada kiasi cha kuyumbishwa kimsimamo, wachukue pesa zao wapoteee
Benki ya dunia inatamani uharibifu wa maadili kiasi cha jamii ya Kitanzania kuchukulia ngono na mimba za utotoni kitu cha kawaida, sijapenda misaada inayoliumiza taifa kiasi hiki, Magufuli stand firmly hawa watu wana mipango ya muda mrefu sana, who knows labda watapitia hapa ili kuishinikiza Tanzania kukubaliana na ushoga, abortion...